SAYANSI YA TIBA MBADALA NA
UTAFITI ASASI ENDELEVU NA MAENDELEO YA DAWA ZA ASILI TANZANIA.
OFISI BARABARA YA KLERUU—MABATINI MWANZA
SIMU NO: 0756-410218
TANZANIA NATURAL MEDICINE FOR SUSTAINABLE DEVELOPMENT—TANAMEDE, MWANZA
TZ.
OFFICE—KLERUU ROAD—MABATINI MWA NZA MOBILE NO: 0688-410218.
CD4 + CELLS NI NINI?
Ni aina ya chembe chembe nyeupe za damu zilizo na receptor protein
zinazoitwa CD4, katika ngozi yake ya nje. Cell zenye CD4 receptor zinaitwa CD4
+ CELLS au helper lymphocytes.
Nkugutwa— CD4 CELLS ni nini?
Ni dawa mbadala ya unga iliyotengenezwa kwa matunda na virutubisho asilia
inayozalisha helper lymphocytes aina ya chembe chembe nyeupe za damu iliyo na
receptor protein, inayotengeneza CD4 + endelevu mwilini. Dawa hii huondoa
magonjwa nyemelezi na kurudisha vitamin na virutubisho asili na kuzalisha CD4 +
mwilini haraka. Dawa hii huleta njaa kila wakati na jasho mwilini.
MATUMIZI:
Kijiko 1 kidogo x 3 kwenye kikombe cha maji
ya moto / mchaichai au uji wa lishe.
DOZI:
Dozi ya dawa hii ni miezi minne (4) mgonjwa kabla ya kuanza dawa hii anatakiwa apime CD4 + na
anapotumia dawa hii apime CD4 baada ya miezi 2 akimaliza dozi apime CD4 baada ya miezi 9 apime CD4 na miezi 12 apime
CD4 kuona maendeleo yake. CD4 hufikia kiwango cha mtu asiye mgonjwa na
kuendelea na shughuli zake kama kawaida.
ONYO:
Mgonjwa asitumie pombe wala madawa ya
kulevya.
MAGONJWA MENGINE TUNAYOTIBU:
¨ PRESHA VIDONDA VYA TUMBO
¨ PUMU KUZIBA MKOJO
¨ KISUKARI FIGO
¨ BAWASIRI UVIMBE
¨ MOYO MPANA SICKLE CELL
¨ KANSA KUPOOZA VIUNGO N.K
¨ CHUNUSI SUGU
¨ INI
DAWA ZETU ZIMETENGENEZWA KWA MATUNDA, MIMEA,
