Wednesday, June 8, 2011

sangara wetu wamekwisha bila sisi kutajirika!

hii ni picha ya Filleti wa sangara wetu wanapofikishwa katika supermarket za ulaya na kuuzwa kwa bei mkasi sana. Filamu ya Darwin's Nightmare ilitabiri kwisha kwa samaki Ziwa Victoria, na sasa hata Majitta,Musoma,Bukoba na Mwanza hakuna samaki

No comments:

Post a Comment